METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 17, 2021

CHONGOLO ATEMBELEA MIRADI CHATO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (aliyeshika fimbo) akihoji mambo mbali mbali baada ya kuonyeshwa michoro ya Stendi ya Mabasi ya Chato ambapo Serikali imewekeza bilioni 6.39. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Stendi ya Mabasi ya Chato ambapo Serikali imewekeza bilioni 6.39. (Picha na CCM Makao Makuu) 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kupokea taarifa ya ujenzi wa shule maalum ya sekondari ya Mbuye iliyopo wilayani Chato, mkoa wa Geita. (Picha na CCM Makao Makuu) 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Ndugu Mandia Kihiyo baada ya kupokea taarifa ya ujenzi wa shule maalum ya sekondari ya Mbuye iliyopo wilayani Chato, mkoa wa Geita. (Picha na CCM Makao Makuu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com