METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 17, 2021

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA MADAKTARI KUTOKA ‘HACKLAND UNIVERSITY HOSPITAL’ YA NCHINI NORWAY

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka ‘Hackland University Hospital’ ya nchini Norway, ambao wamesaidia ujenzi wa Hospital ya Wagonjwa wa Akili Kidongochekundu  Wilaya ya Mjini,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 17/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka ‘Hackland University Hospital’ ya Nchini Norway (kushoto), ambao wamesaidia ujenzi wa Hospital ya Wagonjwa wa Akili Kidongochekundu  Wilaya ya Mjini,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com