METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, November 4, 2021

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATALAAM WA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NCHINI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa nne kulia), Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba  (wa nne kushoto) na Watalaam wa  Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kaspar Mmuya na wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Adam Katundu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watalaam wa  Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi Nchini, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 4, 2021. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu  Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda,  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Kaspar Mmuya na  Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Adam Katundu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com