Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Oktoba 2021 amekutana na kuzungumza na baadhi ya Mawaziri akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Tamisemi Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba pamoja na baadhi ya Watendaji wa Taasisi mbalimbali za Serikali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment