Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wednesday, October 13, 2021
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemkuta na hatia mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee kumkashifu Mkurugenzi Mtendaji wa Clou...
-
Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Ma...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment