Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Omary Tebweta Mgumba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Stephen Nzohabonayo Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Brigedia Jenerali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Charles Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Brigedia Jenerali Charles Mang’era Mbuge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha David Zacharia Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rosemary Staki Senyamule kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwanamvua Hoza Mrindoko kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Queen Cuthbert Sendiga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Wakuu wa mikoa wakila kiapo cha maadili mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment