METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, May 19, 2021

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA BENKI YA AFRIKA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bank Of Africa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Afrika Dr.Nyamajeje Calleb (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake Ndg.Wasira Mushi na Samira  Yassine, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya Afrika ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Dr.Nyamajeje Calleb, walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com