METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, February 11, 2021

WAZIRI BASHUNGWA AIKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA U20 (NGORONGORO HEROES) KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFCON – U20 NCHINI MAURITANIA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akikabidhi bendera kwa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena - Dar es salaam Leo Februali 11,2021.(Picha na Eliud Rwechungura)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena - Dar es salaam Leo Februali 11,2021.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na benchi la ufundi na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena - Dar es salaam Leo Februali 11,2021.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiongea na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteri ya Serena - Dar es salaam Leo Februali 11,2021.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com