METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, February 2, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA MHE. ZEPHARINE NYALUGENDA GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama yaRufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021 

Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021

Kamishna wa Maadili Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi akimlisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba aliyeapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji Siiyangilwa Sikalilwa Mwangesi akimlisha kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba aliyemuapisha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021 

Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpomngeza baada ya kumuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021 

Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021.PICHA NA IKULU

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com