METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, August 10, 2022

ZIARA YA KATIBU MKUU CCM CHONGOLO WILAYANI LUSHOTO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akionyesha jambo kwenye mchoro wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli wakati wa ziara yake katika wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, ikiwa muendelezo wa ziara zake za kukagua uhai wa Chama na Kukagua,Kusimamia na Kuhimiza Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 . 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo ya mchoro wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli kutoka kwa Msanifu wa Majengo Yassin Mringo. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na wanachama na wakazi wa shina namba 3 tawi la Ubiri, Lushoto mkoani Tanga. 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia  wanachama na wakazi wa shina namba 3 tawi la Ubiri, Lushoto mkoani Tanga ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama na Kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya  mwaka 2020-2025.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com