Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na wavuvi na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa samaki la Chato Mkoani Geita alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini.
0 comments:
Post a Comment