METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, January 18, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA ELIMU NA UFUNDI STADI (VETA) MKOANI KAGERA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka  baada ya kuweka jiwe  la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu ya na Mafunzo Stadi (VETA)  Bw. Peter Maduki baada ya kuweka jiwe  la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke baada ya kuweka  la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China Nchini Mhe. Wang Ke akiweka  la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi (VETA) cha mkoa wa Kagera  eneo la Burugo nje kidogo la mji wa Bukoba leo Jumatatu Januari 18, 2021.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com