Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.

Naibu Waziri wa Madini
Profesa Shukrani Manya akila kiapo cha Maadili kwa viongozi wa Umma mara baada
ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara
baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya katika hafla
fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe
11 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya mara baada ya kumuapisha katika
hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo
tarehe 11 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Spika wa Bunge
Job Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa Madini Doto
Biteko, Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya pamoja na Kaimu Jaji
Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Latifa Mansour (wakwanza kushoto) PICHA
NA IKULU
0 comments:
Post a Comment