METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, December 9, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU CHAMWINO DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza Mawaziri na Naibu Mawaziri baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020

WANAWAKE WA SHOKA: Mawaziri wanawake baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020. Kuotoa kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Dkt Dorothy Gwajima, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) na Waziori wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mawaziri  baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa viongozi wengine katika picha ya pamoja na Mawaziri  na Naibu Mawaziri  baada ya kuwaapisha Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 9, 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com