Moto umeunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu ni katika majengo yanayomilikiwa na familia ya Nekemia Kazimoto (Kazikomu) yaliyopo Mji wa kayanga mjini, Karagwe, Kagera mkabara na majengo ya city center na Magereza ya kayanga, moto umeibuka saa 5 na dakika 20 usiku katika moja ya duka la nguo na kusambaa katika maduka mengine ya bidhaa za vyakula, hoteli, stoo za vifaa vya ujenzi, salooni na maduka ya bidhaa mchanganyiko. moto umedumu zaidi masaa manne na chanzo cha moto hakijafahamika mpaka sasa. 26 Disemba 2020. Picha na Eliud Rwechungura.
Sunday, December 27, 2020
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu marehemu Bw. Joseph Ndonjekwa kati...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu akisalimiana na Msimamizi wa Makazi ya Wazee na kituo cha watot...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment