
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama
Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani
Songwe.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel,
Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe ili ziwasaidie katika kipindi
hiki kigumu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 mke wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda
Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali
pamoja na Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel, kulia ni Mama Mzazi wa
Marehemu Roda Bryson Mwaisongole, mke wa Marehemu Salome Philemon Mayao pamoja
na Watoto wake wawili. Marehemu Briton aliuwawa tarehe 25 Agosti, 2020 Tunduma
mkoani Songwe na ameacha Watoto watatu. Marehemu Briton alikuwa Mkuu wa Mafunzo
na Mkuu wa Itifaki UVCCM Wilaya Momba
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amewashika mkono Watoto wawili wa aliyekuwa Mwanachama wa CCM Marehemu Briton
Wilfred Mollel Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 02 Oktoba 2020. PICHA NA
IKULU.
0 comments:
Post a Comment