METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, October 26, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kondoa

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Kondoa mjini wakati akielekea Mkoani Dodoma leo tarehe 26 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Bereko wakati akitokea Babati mjini leo tarehe 26 Oktoba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Babati na Kondoa wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia njiani wakati akielekea mkoani Dodoma leo tarehe 26 Oktoba 2020. 

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com