METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, October 12, 2020

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA KINYEREZI LEO TAREHE 12 OKTOBA, 2020.


Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kinyerezi Wilayani Ilala katika muendelezo wa mikutano ya Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam

Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi mkoani Dar es Salaam wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akinadi sera za CCM leo tarehe 12 Oktoba, 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya mkutano wa Kampeni Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo mara baada ya kuwasili Kinyerezi kwa ajili ya kuwahutubia wananchi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki wa Singeli na Msanii Dulla Makabila kabla ya kuwahutubia wananchi wa Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com