Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
kusimama katika eneo hilo leo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani
Iringa.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manzase Mvumi mkoani Dodoma wakati
akielekea mkoani Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020.
0 comments:
Post a Comment