![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCUdok95JU6sZ3_Cu3Bg5jV6Y7KqjM6-i3RKlBZWQrgCP2oYFNrRgBv3gexSb83XAZD8mXR0iqLGHH4j4nZMcsNQ2_I67eFUxxxzfYfGW7u7sBiyTJMWAsnZdfWjxRWqIJQyzT9ccsf6SG/s640/4+%252819%2529.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi leye Fomu ya
Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya
CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea
Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuchukua Fomu hizo
katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti,
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua
Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini
Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.
Mgombea Mwenza kwa Tiketi ya CCM Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisaini
kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6
Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi za Ofisi za Makao
Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020 mara baada ya
kuchukua Fomu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa CCM
mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Chama hicho White House Dodoma wakati
akitoka kuchukua Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28
Oktoba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea
Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM
White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi la Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment