Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein wakitoka nje ya ukumbi kwa mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndg Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Visiwani) Dkt. Abdullah Juma Mabodi wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment