Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wana CCM akiwa na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan wakimsikiliza Spika Job Ndugai baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan wakiomba udhamini baada ya kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
0 comments:
Post a Comment