METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, August 23, 2020

MHE,RAIS DKT JOHN MAGUFULI ACHANGISHA FEDHA KANISANI KATOLIKI CHAMWINO IKULU ZA UJENZI WA MSIKITI WA CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua msikiti wa Chamwino na maemneo yake baada ya kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wake wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" wakati wa uzinduzi wa Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John 
Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" na kuzindua  Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti
23,. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akikabidhi michango kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya aliposhiririki iliyotokana na harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiendesha harambee kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Chamwino wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres na Grotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akipokea michango kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti wa Chamwino baada ya kuitisha Harambee aliposhiririki  Misa Takatifu ya Dominika ya 21 ya Mwaka "A" ambapo pia alizindua Kanisa, Nyumba ya Mapadres naGrotto ya Parokia ya Bikira Maria Imakulata Ikulu Chamwino leo Jumapili Agosti 23,. 2020
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com