Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mgombea
Mwenza kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Wananchi wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa
upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mgombea wa
Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na Wanamuziki wa
Bendi ya TOT mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mpira wa Jamhuri jijini
Dodoma kwa ajili ya uzinduzi wa Kampeni za CCM.
0 comments:
Post a Comment