Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkewe Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa mara baada ya kuwasili
nyumbani hapo wakati akitokea jijini Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na wanafamilia wa Marehemu Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa wakimuombea sala Marehemu Mzee
Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin
William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin
William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwafariji na kuwapa pole familia ya
Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani pamoja na Mkewe
Mama Janeth Magufuli mara baada ya kutoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee
Benjamin William Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment