METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, July 16, 2020

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali katika hafla fupi ya Uapisho wa Viongozi hao iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Wakuu wa Mikoa mbalimbali walipokuwa wakiwaapisha Wakuu wa Wilaya zao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Viongozi mbalimbali walioteuliwa mstari wa mbele wakiwa wanasikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma mara baada ya hafla fupi ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua. PICHA NA IKULU.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com