Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw. james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria, imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya Matumizi ya Dawa za Kulevya.
Thursday, March 5, 2020
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya...
-
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment