METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, February 5, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA SADC, BALOZI WA UMOJA WA ULAYA (EU) NA BALOZI WA CHINA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) hapa nchini Balozi Manfredo Fanti aliyeongozana na Balozi Emilio Rosetti alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Mkundi Mutasa aliyeongozana na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax aliyekutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali Wilbert Ibuge


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke  alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020.Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kanali Wilbert Ibuge.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini Mhe. Wang Ke alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Februari 5, 2020
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com