METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, February 2, 2020

FATI APIGA ZOTE MBILI PASI ZA MESSI BARECLONA YAICHAPA 2-1 LEVANTE



Nyota mdogo, Ansu Fati akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika ya 30 na 31 mara zote akimalizia pasi za Lionel Messi timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Levante, ambayo bao lake lilifungwa na Ruben Rochina usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Fati aliyezaliwa Guinea-Bissau Oktoba 31, 2002 ambaye sasa ana uraia wa Hispania, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi (miaka 17) kufunga mabao mawili katika mechi moja ya La Liga kihistoria PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com