Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la Mahakama ya
Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, kushoto Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa,
Ibrahim Juma. Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Tanzania,
Profesa, Ibrahim Juma, baada ya kuweka jiwe la msingi la Mahakama ya
Wilaya Ruangwa, iliyopo mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati
alipozindua jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari
13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Jengo la Mahakama ya
Wilaya Ruangwa, baada ya kuzindua rasmi jengo hilo, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya ruangwa, baada ya kuzindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa, Ibrahim Juma,
akizungumza na wananchi wa Wilaya ya ruangwa, wakati wa uzinduzi wa
jengo la Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
0 comments:
Post a Comment