METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, January 31, 2020

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNE,BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Rombo, Joseph  Selasini, bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com