METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, January 28, 2020

TCAA YAENDELEA KUWAJENGEA UWEZO ,KUPENDA SEKTA YA ANGA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MIKOA YA KIGOMA NA KAGERA

Mkufunzi Mkuu Kitengo cha huduma za viwanja vya ndege kutoka Chuo cha Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) kilichopo Dar es Salaam Bi. Thamarat Abeid akitoa ufafanuzi wa fursa za kimasomo katika chuo hicho pamoja na sifa za ujumla zinazohitajika ili kujiunga na masomo ya usafiri wa Anga kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Katubuka na Kirugu zilizopo mkoani Kigoma.   
Mkufunzi Mkuu Kitengo cha huduma za viwanja vya ndege kutoka Chuo cha Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(CATC) kilichopo Dar es Salaam Bi.Thamarat Abeid akitoa ufafanuzi wa fursa za kimasomo katika chuo hicho pamoja na sifa za ujumla zinazohitajika ili kujiunga na masomo ya usafiri wa Anga kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Rugambwa na Ihungo zilizopo mkoani Kagera.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com