Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia
0 comments:
Post a Comment