Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshima kutoka katika paredi maalum ya vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein mara baada ya kuwasili katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Mwanamwema Shein mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein mara baada ya kuwasili katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein wakati maandamano yakipita mbele katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein wakati paredi ikipita mbele kwa heshima katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma kitabu cha hotuba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein akihotubia katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Fatuma Karume mke wa muasisi na Rais wa kwanza Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Abeid Karume mara baada ya kuwasili katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
Makomandoo wa jeshi la JWTZ wakionyesha mazoezi ya ukakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein wakati wa sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Amani Unguja. Januari 12, 2020
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment