Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim
Majaliwa Majaliwa (Mb) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani
Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Isdor
Mpango (Mb) kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla fupi iliyofanyika
katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa
Palamagamba Kabudi (Mb) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino
mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020.
Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi (Mb) wakila Kiapo cha Uadilifu
kwa viongozi wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa Mawaziri na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla fupi
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16
Novemba, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia hotuba za viongozi
mbalimbali mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa
Majaliwa (Mb) pamoja na Mawaziri wawili katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), Waziri wa Fedha pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment