METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 20, 2019

Waziri Jenista Akagua Miradi ya Nyumba za NSSF na Kutoa Maagizo


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama na Katibu Mkuu wa Wizara, Andrew Masawe wakitembelea miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) na kuagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama akitoka kwenye moja ya nyumba za miradi ya nyumba za Shirika la Hifadhi za Taifa (NSSF) zilizoko Kijichi Wilayani Kigamboni  ambapo ameagiza kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi, Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Andrew Masawe na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Wiliam Erio.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama, akiwa katika mradi wa Nyumba wa Dungu ulioko Wilaya Kigamboni Jijini Dar es Salaam, alipotembelea kujionea utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa mwaka jana, Waziri ameagiza ameagiza  kukamilishwa kwa miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza  kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
Mradi wa Nyumba wa Shirika la Hifadhi za Jamii (NSSF) zilizoko kijichi Wilayani Kigamboni kama zinavoonekana kwenye picha, Nyumba hizo zimekamilika isipokuwa miundombinu yake, Waziri ameagiza ameagiza  kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista  Mhagama, akisikiliza Maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa NSSF kuhusu gharama za ujenzi wa mradi wa Nyumba zilizoko Ndungu  Wilayani Kigamboni, Waziri ameagiza ameagiza kukamilishwa kwa Miundombinu ya Nyumba zilizokamilika ili kuwezesha watanzania kuanza kuzitumia kwa makazi.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com