METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 27, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI, IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Nzega mjini (hawaonekani pichani) Mkoani Tabora wakati akielekea
Isaka mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Igunga mkoani Tabora wakati akielekea Nzega.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Shelui mkoani Singida wakati akielekea Igunga mkoani Tabora.

Wananchi wa Shelui wakishangilia mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kusimama katika eneo hilo. 

PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com