Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitunukiwa Didrii ya
Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga ulipo
chuoni hapo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa
Kada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya
kutunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika
Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin
Mkapa wakati wa sherehe za Mahafali ya 10 yaliyofanyika katika ukumbi wa
Chimwaga mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
kumbukumbu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Makamu wa Mkuu wa Chuo cha UDOM Profesa
Fausine Bee kabla ya kuanza kwa sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho
yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kabla
ya kuanza sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliofanyika katika
Ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Wahitimu
wengine wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakati wakiimba wimbo wa Taifa
mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Mmoja ya Wahitimu wa Chuo cha
Kikuu cha Dodoma UDOM akisoma kwa makini Wasifu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe
za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.
Sehemu ya Wahitimu wa kada
mbalimbali wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakiwa wanasubiri
kutunikiwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin
Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment