METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, November 8, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI ZA AFRIKA NA NORDIC KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE (JNICC)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann Linde katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann Linde mara baada ya kumkabidhi zawadi ya Kamusi ya Kiswahili na Kingereza pamoja na kitabu cha Kiswahili mara baada ya kufungua mkutano wa Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland Pekka Haavisto kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC). PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com