METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, November 25, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UWANJA WA MAADHIMISHO YA TAIFA, MAKAO MAKUU YA ULINZI, AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA DODOMA LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakisikiliza maelezo toka kwa Mhandisi Kanali Zabron Mahenge akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Yakub Mohamed baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akikata utepe kuashiria mwanzo wa ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akiongea machache baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Kijiji cha Chimilolo alipotoka katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Novemba 25, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Africa wakati wa mazungumzo yao Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika na ujumbe wake alipokutana naye Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na pamoja na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika na ujumbe wake na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu wa wizara hiyo Doto James na maafisa waandamizi wa wizara alipokutana naye Ikulu Chamwino
jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango

PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com