Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, Injinia
Jumanne Werema, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba
4.2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi.
Waziri Mkuu yupo mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na Watumishi wa Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, kwenye
ukumbi wa Halmashairi wilayani hapo, Oktoba 4.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia korosho zilizotoka, kwenye mradi wa shamba la korosho la
Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019.
Kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Marry Majaliwa na kulia ni Meneja
wa Kanda ya Kati, Bodi ya Korosho, Ray Mtangi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia mti wa korosho, kwenye mradi wa shamba la korosho la
Masigati wilayani Manyoni, wakati alipokagua mradi huo, Oktoba 4.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiweka jiwe la msingi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya
Itigi, mkoani Singida, Oktoba 4.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akikagua jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, baada ya
kuweka jiwe la msingi wa jengo hilo, Oktoba 4.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment