Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugora mara baada ya kuhutubia wanachi
wa Namanyere Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
Namanyere Nkasi mkoani Rukwa mara baada ya kuwasili akitokea Sumbawanga.
0 comments:
Post a Comment