METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, October 12, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa wa NEC Mary Joseph Mwambongo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ana kula chakula pamoja na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya habari wa mkoani Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo mara baada ya kujiandikisha katika katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.
 PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com