METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, October 15, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA RUANGWA MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Likangala kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi leo tarehe 15/11/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Likangala kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi leo tarehe 15/11/2019.
Wananchi wa Ruangwa wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Wilayani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili Wilayani humo wakati akitokea Lindi mjini.
PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com