Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Kilimo, Bw. Revocatus Kasimba akifafanua jambo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Bw. Edward Mpogolo (kulia) alipotembelea katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo kilele chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Kilimo, Mbaraka Omari na Mratibu wa maonesho hayo Sadoti Makwaruzi.[/caption]
[caption id="attachment_48064" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Bw. Edward Mpogolo akipata maelezo namna ya unga wa lishe utokanao na maharage kutoka kwa Mtafiti wa Maharage toka Taasisi ya Utafiti ya Kilimo (TARI) Kituo cha Seliani Arusha, Bi. Editha Kadege alipokuwa akitembelea mabanda katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019[/caption]
[caption id="attachment_48066" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Bw. Edward Mpogolo akiwekewa uji uliopikwa kwa kutumia unga lishe utokanao na maharage kutoka kwa Mtafiti Msaidizi toka Taasisi ya Utafiti ya Kilimo (TARI) Kituo cha Seliani Arusha, Bibi. Dimetria Mugo alipokuwa akitembelea mabanda katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019.[/caption]
[caption id="attachment_48067" align="aligncenter" width="1000"] Mtafiti wa Maharage toka Taasisi ya Utafiti ya Kilimo (TARI) Kituo cha Seliani Arusha, Bi. Editha Kadege akiwaelezea wanafunzi wa shule ya Sekondari Salimin ya mjini Singida namna unga wa lishe utokanao na maharage unavyotengenezwa walipotembelea banda la TARI leo katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019.[/caption]
[caption id="attachment_48068" align="aligncenter" width="1000"] Mtafiti toka Taasisi ya Utafiti ya Kilimo Tanzania(TARI) Makao Makuu Dodoma, Bibi. Mshaghuley Ishika akiwaelezea wanafunzi wa shule ya Sekondari Salimin ya mjini Singida kuhusu usindikaji wa zabibu za mezani walipotembelea banda la TARI leo katika maonesho ya bidhaa za chakula na lishe yanayoendelea katika viwanja vya Bomberdier mjini Singida ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia ambayo kitaifa inafanyika mkoani Singida na ambapo chake itakuwa tarehe 16 Oktoba 2019.(Pichana Idara ya Habari –MAELEZO)[/caption]
Saturday, October 12, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Waziri wa Kilimo Mhe Hasunga (Mb) Mwenye Tai, akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa kampuni mbalimbali zinazojihusisha na uzalish...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Raia wa India, Dennis Smith ameachishwa kazi katika Hoteli ya Ramada kwa madai ya kuwatukana wafanyakazi wa ngazi za chini akiwaita nyan...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment