


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na
viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa
katika picha ya pamoja na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza
kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini
Urusi, Oktoba 24, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment