Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi,
Dkt. Festus Limbu, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma,
kufunga Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya
Kimkakati. Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu, akizungumza na washiriki, kwenye
Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya
Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba
20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith
Mahenge, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la
Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika
ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu,Jenista Mhagama,
akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa
Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa
LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akihutubia kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika
Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma.
Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizindua mwongozo wa Taifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji na
tovuti ya miradi ya mikakati, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa
Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa
LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment