
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Loata
Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Alphayo
Kidata kuwa Katibu Tawala mkoa wa Mtwara katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ally Possi
kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary
Maganga kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
anayeshughulikia Utawala katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mussa
Lulandala kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.


Viongozi mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Viongozi wengine wa Serikali Kuu katika
picha ya pamoja na viongozi waliopishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare kushoto pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa zamani wa Morogoro Dkt Stephen Kebwe mara baada ya hafla fupi
ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment