David
Mabula na mke wake Sandra Ndiwu wakiwasili katika ukumbi wa Malaika
Beach Resort jijini Mwanza kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya
kufunga ndoa takatifu katika Kanisa Katoliki la St Joseph Kirumba Mwanza
mwishoni mwa wiki.Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula
akiwa na mtoto wake David Mabula (wa tatu kushoto) na mkewe Sandra Ndiwu
wakisikiliza maelekezo kwa makini wakati wa hafla ya kuwapongeza
kufunga ndoa. Hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort
jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula
akifurahia jambo na Sandra Ndiwu (Mke wa mtoto wake) wakati wa hafla ya
kusheherekea kufunga ndoa takatifu kwa mtoto wake David iliyofanyika
ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza mwishoni mwa wikli.Mbunge
wa Jimbo la Urambo Magreth Sitta akimvisha Khanga Naibu Waziri wa Ardhi
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula kwa niaba ya
Wabunge wenzake wakati wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt. Mabula
aliyefunga ndoa na Sandra Ndiwu mwishoni mwa wiki.Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dorothy Mwanyika
akisalimiana na Masajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba Stela Tullo
wakati wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula
aliyefunga ndoa mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya
Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Tutubi Mangazeni.Katibu
Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dorothy Mwanyika
(Kushoto) akiongoza watumishi wa Wizara yake kwenda kutoa zawadi wakati
wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula aliyefunga ndoa
mwishoni mwa wiki. Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiwa katika
picha ya pamoja na watumishi wa Wizara yake wakati wa hafla ya
kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula aliyefunga ndoa mwishoni mwa
wiki jijini Mwanza.David
Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt
Angeline Mabula akizungumza wakati wa hafla ya kumpongeza kwa kufunga
ndoa na Sandra Ndiwu mwishoni mwa wiki. Wengine pichani ni watoto wa mhe
Dkt Angeline Mabula.Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick akifurahia jambo na Sandra
Ndiwu (Mke wa mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula) wakati wa hafla ya
kumpongeza mtoto wa mhe Dkt Angeline Mabula kwa kufunga ndoa mwishoni
mwa wiki jijini Mwanza.Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiwaongoza
Wabunge wenzake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha
ya pamoja na Naibu Wake Dkt Angeline Mabula (aliyekaa) wakati wa hafla
ya kumpongeza mtoto wa Naibu Waziri Mhe. Dkt Mabula kwa kufunga ndoamwishoni mwa wiki jijini MwanzaMbunge wa Jimbo la Urambo mkoani Tabora Magreth Sitta akizungumza kwa niaba ya Wabunge wenzakewakati wa wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Naibu Waziriwa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula kwa kufunga ndoamwishoni mwa wiki jijini MwanzaBendi
ya Twanga Pepeta ikitumbuiza wakati wa hafla ya kumpongeza Mtoto wa
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline
Mabula kwa kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.(PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
0 comments:
Post a Comment