
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati
alipokwenda kuhani msiba wa mototo wa Mkuu wa Majeshi , Nelson Mabeyo,
Msasani jijini Der es salaam, Septemba 24, 201

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Nelson Mabeyo, mtoto wa
Mkuu wa Majeshi nchini, Generali Venance Mabeyo, nyumbani kwa Mkuu wa
Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam, Septemba 24, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole, Tina Mabeyo, Mke wa Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali
Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani
jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson
Mabeyo, Septemba 24, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali, Venance Mabeyo wakati
alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam
kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24,
2019. Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma na
kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment